shemweta91
Senior Member
- Sep 4, 2013
- 101
- 18
Ya waliopata mkopo au waliochaguliwa chuo?TIA majina yamebandikwa chuoni……
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya waliopata mkopo au waliochaguliwa chuo?TIA majina yamebandikwa chuoni……
Tafadhali muliopata mkopo musiwadanganye wazazi/walezi kuwa hamjapata mkopo ili mupewe hela mara mbili.Hiyohela ni ndogo usinunue vitu ambavo si muhimu sana
Nunua laptop inayopokea wifi usinunue smartphone.
Hongereni tena

kwa mkopo wakwanza nnaweza kununua machine kweli
mara ya kwanza unapewa 650...weka 300 kando likitoka la pili chukua 100...plus na ile ya mwanzo unakua na 450...kanunue mashine
sisi wengine cjui lini. Udsm na nyie toeni basi
UDOM nae wapo njiani kuachia
kwahiyo mpakato mzuri ni wa 450 ...labda ntajie model nfwatilie info zake kama inafaa
name mara zinazo fwata unapewa ngapi?
acer unapata kwa hiyo bei