MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,555
Haya wenye vyuo maghorofa endeleeni kusubiri mkopo basi chuo cha mifugo sua washapataSasa hebu niambie SUA kule mazimbu yalipokuwa makambi ya wakimbizi wa south kuna bata gani? Chuo kama shule ya msingi bhana.
Alafu we una iq ndogo kweli.jina chuo cha kilimo ndo linakufanya uone chuo kizima ni cha kilimo.hilo ni jina tu kutokana na aina ya course ambazo chuo kilikuwa kinatoa mwanzo kilivyokua kinaanzishwa ambazo zilikuwa ni kilimo tu sahv chuo kishapanuka na kinatoa course nyingine tofauti kabisa na kilimo so siyo kila anayesoma pale anasomea kilimo"
Hahaha look it "CHUO CHA KILIMO CHA SOKOINE" so ni chuo cha kilimo, alafu shida adabu kijana Sua Zimejaa div3 mbovu pale na wote waliokosa nafasi Muhas Bugando kusoma MD na phamarcy ndo hutupwa hapo kwenye kambi ya waliokata tamaa hahahahaha alafu ulivyo na akili chakavu unataka ufananisha SUA na Mzumbe UDSM wanaobeba vipanga wenye div1 &2 kali. Kijana acha mchecheto wewe mfugaji.
Alafu we una iq ndogo kweli.jina chuo cha kilimo ndo linakufanya uone chuo kizima ni cha kilimo.hilo ni jina tu kutokana na aina ya course ambazo chuo kilikuwa kinatoa mwanzo kilivyokua kinaanzishwa ambazo zilikuwa ni kilimo tu sahv chuo kishapanuka na kinatoa course nyingine tofauti kabisa na kilimo so siyo kila anayesoma pale anasomea kilimo
Haya wenye vyuo maghorofa endeleeni kusubiri mkopo basi chuo cha mifugo sua washapata
If u dont know kaa kimya.coz za pale nyingi ni unique.ud mwaka huu kuna hadi four sa kama sua wenye three we unawaona vipanga hao ud wenye four sijui utawaitaje and nitajie chuo chochote unachodhani hakichukui three
Sua coz nyingi ni science so lazima mkopo uwe vizuri.kwa hivi vyuo vya kata full arts wategemee msiba mwaka huu serikali haina hela
Duh na wewe mwanachuo?
Unique gani wa kozi unaozungumzia wewe kichwa box? Yani hadi ufugaji wa nyuki na sungura unahitaji kukaa darasani miaka 3 hadi 5? Sua ni njaa tupu pale hakuna kitu.
Poa mkuu acha wenye njaa tuendelee kusoma pale chuo chetu cha kishamba
Poa mkuu acha wenye njaa tuendelee kusoma pale chuo chetu cha kishamba
mkuu magoma manne yani umetisha sana mkuu.....mimi watatu tu watanitosha...na hizo pesa yani nazidi changanyikiwa nadhani nitaishi kama nipo peponi yani....mkuu nadhani nitakutafuta nikifika mazimbu...umenifurahisha sana maelaaaaaaaaaaa kama nipo ulayadogo mpaka sahv nishapiga ngoma kama nne hivi.bado na nyinyi mkifik lazima nichukue kamoja.xa skia dogo pale pale kwenye registration foleni inakuwaga ndefu so toto utakaloona linakuvutia haitakiwi ufanye makosa unacheza ka pele.njoo tule maisha pale sua mikopo hawazingui mkifika tu mna sign 695000 sh.hamja kaa vzr mwezi wa kumi na mbl mna sign 495000,then hapo unasubr mwezi wa kwanza unaku sign 120000.mihela yote hiyo ushindwe kudaka migoma mikali
Eeeh someni tu ntakuja na vijana wangu hapo kuchukua dumu za asali.
huyu boya katokea wapi aiseeee....mm nina
division 1 na naenda kupiga agribusiness...
Eeeh someni tu ntakuja na vijana wangu hapo kuchukua dumu za asali.
Hahah jamaa ka surrender
Ukifika nitafute c ndo wakongwe hichi chuo.nitakupa technique zote za kudaka magoma makalimkuu magoma manne yani umetisha sana mkuu.....mimi watatu tu watanitosha...na hizo pesa yani nazidi changanyikiwa nadhani nitaishi kama nipo peponi yani....mkuu nadhani nitakutafuta nikifika mazimbu...umenifurahisha sana maelaaaaaaaaaaa kama nipo ulaya
Mkuu sifanyi hiyo kazi ya kuuza asali.labda uje na Vijana wako mfumuliwe marinda coz naona unapenda kupumuliwa kisogoni