MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,555
Haya wenye vyuo maghorofa endeleeni kusubiri mkopo basi chuo cha mifugo sua washapataSasa hebu niambie SUA kule mazimbu yalipokuwa makambi ya wakimbizi wa south kuna bata gani? Chuo kama shule ya msingi bhana.