Wale wa SUA mkopo huu hapa

Wale wa SUA mkopo huu hapa

jaman muhas liniii na jtatu tunafungua chuo na mzeee hana hata uelekeo wa kulipa ada,mtoto wa mkulima
 
mliopata hongereni ngoja na wengine tusubiri
 
Kuna colum sijazielewaa waki kwandikoa hivi FT,BS,SFR wana manisha nini pale na au zile pesa ni za nn MA nime elewa na meals and accomidation msaada tafadhari
 
Kuna colum sijazielewaa waki kwandikoa hivi FT,BS,SFR wana manisha nini pale na au zile pesa ni za nn MA nime elewa na meals and accomidation msaada tafadhari

SFR NI special faculty requirements
FT ni FIELD TRAINING
BS ni book and stationeries
 
Hongereni mukakaze buti mziki wa sua si mchezo
 
Tafadhali muliopata mkopo musiwadanganye wazazi/walezi kuwa hamjapata mkopo ili mupewe hela mara mbili.Hiyohela ni ndogo usinunue vitu ambavo si muhimu sana

Nunua laptop inayopokea wifi usinunue smartphone.

Hongereni tena
 
Back
Top Bottom