Wale wa SUA mkopo huu hapa

Wale wa SUA mkopo huu hapa

I see, kwa mawazo haya Tutafika tumechoka !!
 
Nimuuzie acer. Ram 4 prcor 2. Hard 500. Nimetumia miez 4
 
Msaada jamani, mi nmechaguliwa Sua ila sijatumiwa password ya kuniwezesha ni download invoice kwa ajiri ya malipo,nifanyeje wakuu? Plz nsaidien.
 
Mimi nipo sua BTM na sijaona jina langu kwa waliopata mkopo nisaidien wadau

nackiaga rural na btm ni nadra sana ila kama ni mtt wa kike ni pm tutakula za kwangu...mm
naingia mwaka wa kwanza mkuu
 
Back
Top Bottom