Mbwile Classic
Member
- Jul 15, 2013
- 30
- 5
una asilimia mia kijana...jipange ukasome
Safi sana na hongera!! Tutakutana huko na tutakua department moja...karib sua...
kuna majina yamewekewa nyota... kulikoni?
sawa wasomi sisi tusiobatika kuipata hii elimu sijui tufanyeje maana kila ukiingia jf ni vyuo tu.
Ushauri kama umepangwa SUA nakuomba sana mambo ya kitoto uache kabisa kwani ukileta uzembe tu unaliwa kichwa.Utoto unaishiaga Msamvu so jipangeni kupiga msuli
sawa wasomi sisi tusiobatika kuipata hii elimu sijui tufanyeje maana kila ukiingia jf ni vyuo tu.
Msaada Mi cjui kama nimechaguliwa au nimeachwa.
sawa wasomi sisi tusiobatika kuipata hii elimu sijui tufanyeje maana kila ukiingia jf ni vyuo tu.
Kaka unatutisha mpaka naogopa,ila asante kwa tahadhari yako,naimani kila mtu ana malengo yake,na si kwa sua tu,hakuna kitu kizuri kama kuwa competative,na kujivunia mafanikio yako