Wale wa Sua tufahamiane humu

Wale wa Sua tufahamiane humu

Hongereni wadau tuko pamoja! Mimi kaka yenu niko BVM hii najua ni main campus. Jamani nijuzeni hii makitu inasomeka lakini?
 
Ila nasikia msuli wa sua ni noma,mi nakula bata kabla cjafika,nikiwa chuo bata ni mpaka weekend ya mwisho wa mwezi
 
Hata mimi cjajua sababu na hakuna alama za ufupisho zilizoonyesha maana yake
 
kuna majina yamewekewa nyota... kulikoni?

Kwenye tangazo lao wamefafanua mkuu! Hayo ni ya wale wenye kuchaguliwa vyuo zaidi ya kimoja. Hivyo wanatakiwa wathibitishe kwa TCU kwamba wanapendelea chuo gani. SUA nao wanasubiri uamuzi wa TCU!
 
Na inasemekana wamefanya application kwa kutumia tcu halafu by direct entry
 
Ushauri kama umepangwa SUA nakuomba sana mambo ya kitoto uache kabisa kwani ukileta uzembe tu unaliwa kichwa.Utoto unaishiaga Msamvu so jipangeni kupiga msuli
 
sawa wasomi sisi tusiobatika kuipata hii elimu sijui tufanyeje maana kila ukiingia jf ni vyuo tu.
 
sawa wasomi sisi tusiobatika kuipata hii elimu sijui tufanyeje maana kila ukiingia jf ni vyuo tu.

Naimani una mengi ambayo hata hao wasomi wanayatamani pia,jikubaili una kitu special kama anavyosema ben paul
 
Ushauri kama umepangwa SUA nakuomba sana mambo ya kitoto uache kabisa kwani ukileta uzembe tu unaliwa kichwa.Utoto unaishiaga Msamvu so jipangeni kupiga msuli

Kaka unatutisha mpaka naogopa,ila asante kwa tahadhari yako,naimani kila mtu ana malengo yake,na si kwa sua tu,hakuna kitu kizuri kama kuwa competative,na kujivunia mafanikio yako
 
sawa wasomi sisi tusiobatika kuipata hii elimu sijui tufanyeje maana kila ukiingia jf ni vyuo tu.

pole sana mkuu ndo mana likaitwa jukwaa la elimu..hapa ni masuala mazima ya elimu...nenda majukwaa mengine hakuna sana ishu za elimu...kila la heri..
 
sawa wasomi sisi tusiobatika kuipata hii elimu sijui tufanyeje maana kila ukiingia jf ni vyuo tu.

Mkuu ukiona vipi hili jukwaa unalipotezea! Lakini hata hivyo mkuu usijishushe sana hauna tofauti na hao wasomi!
 
Kaka unatutisha mpaka naogopa,ila asante kwa tahadhari yako,naimani kila mtu ana malengo yake,na si kwa sua tu,hakuna kitu kizuri kama kuwa competative,na kujivunia mafanikio yako

Mkuu kwa hicho ki-Mulugo ulichomalizia hapo mwisho watakula kichwa yako! Jipange sawasawa!
 
Back
Top Bottom