Kaka unatutisha mpaka naogopa,ila asante kwa tahadhari yako,naimani kila mtu ana malengo yake,na si kwa sua tu,hakuna kitu kizuri kama kuwa competative,na kujivunia mafanikio yako
mimi nimechaguliwa Bachelor of Science Agricultural Economics and Agribusiness
Mkuu kwa hicho ki-Mulugo ulichomalizia hapo mwisho watakula kichwa yako! Jipange sawasawa!
karib sn dogo,gem co ngum kvile 2takutana nikupe dondoo!
kumbuka pia lecture masaa ma3!upo hapo,bt dg uchanye utatoboa2 ukpunguza ubitoz!
main campus braza
samahan kaka,nami nipo course hiyo,je unajuaje kama upo main campus au mazimbu?
Mimi nipo education (informatics&mathematics ) je ntaenda main campus or mazimbu
Binafsi wamenichagua Bsc.education(mathematics and geography)
Ila nasikia msuli wa sua ni noma,mi nakula bata kabla cjafika,nikiwa chuo bata ni mpaka weekend ya mwisho wa mwezi
mimi nimechaguliwa Bachelor of Science in Agricultural Economics and Agribusiness SUA xo tutakutana hasa wale wa Solomon campus
haya brrrr...AEA mm nipo 2nd
Karibu ukale bata namba somehow inabana ila geog ni bata!
kwa sembuche mmmhhh cjui...Namba tutakomaa pia
kwa sembuche mmmhhh cjui...
Mbuche hajastafu bado?