Geezzle
JF-Expert Member
- Jul 25, 2012
- 849
- 267
Kaka unatutisha mpaka naogopa,ila asante kwa tahadhari yako,naimani kila mtu ana malengo yake,na si kwa sua tu,hakuna kitu kizuri kama kuwa competative,na kujivunia mafanikio yako
kumbuka pia lecture masaa ma3!upo hapo,bt dg uchanye utatoboa2 ukpunguza ubitoz!