wale wa UDOM 2kutane HAPA !!!

wale wa UDOM 2kutane HAPA !!!

pia guyz wana UDOM wakitoa tar cku ya kufungua chuo,plz 2julishane
 
2pia coz gan unaenda
kusomea ili 2juane mapemaaaa ! ili 2kifika huko 2sihangaike huwez jua
2naweza 2kawa hata room moja,me nipo ba ed in guidence and counseling
,ww je ? ma2c hayaruhusiwi....! karibun 2juane

we ni mwenzangu ngoja tukapepelushe bendera ya udom
 
Back
Top Bottom