wale wa UDOM 2kutane HAPA !!!

mkumbuke na tar ya kufungua na chuo basi daa !
 
kwel jembe,ila kuna rfk
yangu 2takuwa naye hapo mjengon kaniambia 2tafungua tar 12.10,2013 ila
nikiingia kwenye web yao ipo empt,et guyz n kwel ?

kwe wbsti yao wana xema watatoa form mwanzoni mwa mwez huu! lkn wadau wanaoxoma kule wanaxema latiba inaonyesha first year tar 12/10 tutaingia bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…