Wale wa UDOM: Sept 30 ni deadline ya Tuition Fees

Huyu Dogo natakiwa nimlipie 700,000/= lakini sitaki kuhangaika Kila Mwaka kulipa, Je naweza kumlipia miaka yote mitatu kwa Mara moja (i.e 2,100,000)?

yeah unaweza lipah,bt be ver makini anaweza feli akapoteza hela yako wazi?updated boy
 
Mimi mwaka jana wenzangu walilipoti tarehe 12 mimi na mwenzangu tukaripoti mwezi 11, hivo cha msingi siku unayoenda uwe na risti hawaangalii tarehe ya kulipia, pili nafasi ya mwanafunzi kupotea/ kutofanyiwa registration ni ndani ya miezi 3. SO KAMA HAUNA HELA JIPANGE POLEPOLE HATA UKILIPA TH. 12 hakunaga SHIDA.
 
thanx kiny kwa ufafanuz naiman wamekudaka! Updated boy
 
hakika ww ni GREAT THINKER
 
Hizo direct costs siyo tunazilipa chuoni tukishariport ada ndo tunalipia bank coz naona taasisi nyingi huwa hazichanganyi ada na malipo mengine.
 
msaada jameni! nimechaguliwa udom na mkopo nimepata ila jina langu halipo udom nimewapigia nacte wanasema nisubiri wanalifanyia kazi . Je naweza endelea na malipo?
 
Hizo direct costs siyo tunazilipa chuoni tukishariport ada ndo tunalipia bank coz naona taasisi nyingi huwa hazichanganyi ada na malipo mengine.

Kila kitu unalipia bank ndio maana unaona hata kwenye tangazo lao wamekuwekea na account number ya direct costs. Na miaka yote tunalipia bank kila kitu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
msaada jameni! nimechaguliwa udom na mkopo nimepata ila jina langu halipo udom nimewapigia nacte wanasema nisubiri wanalifanyia kazi . Je naweza endelea na malipo?

tatizo lako ni la watu wengi jus lipia. .kwani hata kudownload join instruction itakua ngumu xo try kutafuta mtu mwenye nakala uisome.
 
Kila kitu unalipia bank ndio maana unaona hata kwenye tangazo lao wamekuwekea na account number ya direct costs. Na miaka yote tunalipia bank kila kitu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Poa mkuu
 
wana udom wenzangu naomba kuuliza jins ya kuzipata jioning instraction form ili nizitumie kuomba msaada wa ada na mahitaj mengine ya chuo,kwan hata me pia heslb wamenitosa.,natanguliza shukran za dhati kwenu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…