yeah,wanaweza kukupokea c unajua hli ni chama la gvt tenah?updated boy
asante mkuu kwa kunipa moyo coz nilikuwa nimekata tamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeah,wanaweza kukupokea c unajua hli ni chama la gvt tenah?updated boy
me hapo nipo njia panda jaman
Huyu Dogo natakiwa nimlipie 700,000/= lakini sitaki kuhangaika Kila Mwaka kulipa, Je naweza kumlipia miaka yote mitatu kwa Mara moja (i.e 2,100,000)?
Duh apo kwer niivyo tu ngoja na mm nikaripiee leo make awaa jamaa ni noumaaa!!! bila malipo hakuna ucajili!!IVI HIYO UDOSO FEES ACCOUNT YAO NI NI IP!????
asante mkuu kwa kunipa moyo coz nilikuwa nimekata tamaa
Mimi mwaka jana wenzangu walilipoti tarehe 12 mimi na mwenzangu tukaripoti mwezi 11, hivo cha msingi siku unayoenda uwe na risti hawaangalii tarehe ya kulipia, pili nafasi ya mwanafunzi kupotea/ kutofanyiwa registration ni ndani ya miezi 3. SO KAMA HAUNA HELA JIPANGE POLEPOLE HATA UKILIPA TH. 12 hakunaga SHIDA.

kwani mwaka wenu waliweka deadline?
tafuta money b4 leo xaa 6 ucku ulipe..wazi?updated boy
ndo naelekea bank kulipa hiyo direct cost yao!
asante mkuu kwa kunipa moyo coz nilikuwa nimekata tamaa[/QU-Husiwe unawahi kukata tamaa
asante mkuu kwa kunipa moyo coz nilikuwa nimekata tamaa[/QU-Husiwe unawahi kukata tamaa
kama kawaidah c vizur kukata tamaa mapema wazi?
Hizo direct costs siyo tunazilipa chuoni tukishariport ada ndo tunalipia bank coz naona taasisi nyingi huwa hazichanganyi ada na malipo mengine.
Cjui watanipokea coz nategemea kupata pesa october 5
msaada jameni! nimechaguliwa udom na mkopo nimepata ila jina langu halipo udom nimewapigia nacte wanasema nisubiri wanalifanyia kazi . Je naweza endelea na malipo?
Kila kitu unalipia bank ndio maana unaona hata kwenye tangazo lao wamekuwekea na account number ya direct costs. Na miaka yote tunalipia bank kila kitu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums