Mimi ninavyofahamu, unaweza kulipa tarehe yoyote tu even after hyo tarehe 30. But kwa ushauri tu jitahidi kufanya malipo ukiwa nyumbani kwenu ili siku ya kureport uwe na slip zako za malipo mkononi then unafanyiwa registration fasta unatulia coz ukisema ukalipie Dodoma ukifika hiyo foleni ya bank ni balaa. So ni hayo tu, huwa hawafuatilii sana hiyo deadline labda kama ndo waanza kufatilia mwaka huu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums