Wale wa UDOM: Sept 30 ni deadline ya Tuition Fees

Wale wa UDOM: Sept 30 ni deadline ya Tuition Fees

Wandugu nahitaji kufungua student account crdb hapo chuon raia moja imenitel kuwa niende tu na passprt size mbili then nafungua mimi nilitaka kuchukua barua kwa mtendaji kama process za kufungua account zinavyotaka kwa kuwa vitambulisho vyangu vilipotea.
 
Mimi ninavyofahamu, unaweza kulipa tarehe yoyote tu even after hyo tarehe 30. But kwa ushauri tu jitahidi kufanya malipo ukiwa nyumbani kwenu ili siku ya kureport uwe na slip zako za malipo mkononi then unafanyiwa registration fasta unatulia coz ukisema ukalipie Dodoma ukifika hiyo foleni ya bank ni balaa. So ni hayo tu, huwa hawafuatilii sana hiyo deadline labda kama ndo waanza kufatilia mwaka huu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

asante kwa ushauri wako!!
 
Wakuu naombeni mawasiliano ya UDOM nina shida nayo sana.. Msaada please
 
Back
Top Bottom