Wale wa UDOM tulio badilishiwa kozi na chuo tufanyaje?

JOSEPHAT_07

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
303
Reaction score
181
Wakuu naombeni msaada kunabaadhi ya wanafunzi tuliochaguliwa UDOM, Tumebadilishwa kozi kwa madai et kozi nyingine zina watu wachache.

Mfano mim nilichaguliwa Bsc in Petroleum Engineering lakini UDOM wametoa majina wamenipangia Geoinformatics ambayo ni Non priority facaty.

Msaada wa ndugu
 
Its easy mkuu kubadili fakati ni tendo linalo fanyika ndani ya chuo humu huko chuon.may be in case unataka kuhama chuo nde hilo linafanyika na tcu
 
Its easy mkuu kubadili fakati ni tendo linalo fanyika ndani ya chuo humu huko chuon.may be in case unataka kuhama chuo nde hilo linafanyika na tcu

Kuna mmoja wetu kati ya cc tuliobadilishiwa yupo Dodoma kafatilia majibu aliopewa ndio hayo ya kwamba kozi nyingine zina watu wachache
 
kweli kaka mi mwenyewe nashangaa geoinformatics tulikuwa 30 now tupo. hamsini na kitu,
 
Mambo yakusomeshana koz usiokuwa nA mipango nayo sio poa kabisa......
 
Du! Sasa hapo wanavuruga malengo ya watu, kwani ni lazima kozi iwe na watu wengi? Je kama kozi yenyewe ni kimeo inakuaje?

Vyuo vingine huwa wanabadilisha bila kusumbuana labda hapo UDOM sijui kuna tatizo gani.
 
hatari labda ukifika chuoni unawaambia ukweli watakuelewa, kuna jamaa aliwapeleka hadi mahakamani kwa mchezo huohuo
 
wadau iv ikoz ya edctn in psycholgy ndo soko lake niaje afna je unapoixoma unapew na xomo la kufundshaau vp (UDOM)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…