J Jackson Barnabas Member Joined Jun 22, 2013 Posts 61 Reaction score 3 Sep 26, 2013 #1 Jaman naomba msaada kuhusu hili suala la kulipia direct cost pamoja na tuition fee kabla ya huu mwezi kuisha!imekaaje hiyo au nikulipia direct cost peke yake afu fee badae?au nikulipia zote?mwenye uelewa na hili anifahamishe!
Jaman naomba msaada kuhusu hili suala la kulipia direct cost pamoja na tuition fee kabla ya huu mwezi kuisha!imekaaje hiyo au nikulipia direct cost peke yake afu fee badae?au nikulipia zote?mwenye uelewa na hili anifahamishe!
J Jackson Barnabas Member Joined Jun 22, 2013 Posts 61 Reaction score 3 Sep 26, 2013 Thread starter #2 Naomba mnieleweshe!
ranicta nicta Member Joined May 24, 2013 Posts 60 Reaction score 20 Sep 26, 2013 #3 Ngoja wenyewe waje hata mm cjui
N nurein.com Member Joined Sep 2, 2013 Posts 5 Reaction score 0 Sep 26, 2013 #4 Jackson Barnabas said: Naomba mnieleweshe! Click to expand... nenda kalipe iyo Direct cost kwanza iye tuition fee adi ujue asilimia ya mkopo man
Jackson Barnabas said: Naomba mnieleweshe! Click to expand... nenda kalipe iyo Direct cost kwanza iye tuition fee adi ujue asilimia ya mkopo man
J Jackson Barnabas Member Joined Jun 22, 2013 Posts 61 Reaction score 3 Sep 26, 2013 Thread starter #5 nurein.com said: nenda kalipe iyo Direct cost kwanza iye tuition fee adi ujue asilimia ya mkopo man Click to expand... asante sana mkuu!nimekuelewa.
nurein.com said: nenda kalipe iyo Direct cost kwanza iye tuition fee adi ujue asilimia ya mkopo man Click to expand... asante sana mkuu!nimekuelewa.
Vitendo JF-Expert Member Joined Oct 23, 2009 Posts 582 Reaction score 103 Sep 26, 2013 #6 mbona wameandika vizuri kabisa kwenye website yao!!! Important notice to all students