Jackson Barnabas
Member
- Jun 22, 2013
- 61
- 3
Jaman naomba msaada kuhusu hili suala la kulipia direct cost pamoja na tuition fee kabla ya huu mwezi kuisha!imekaaje hiyo au nikulipia direct cost peke yake afu fee badae?au nikulipia zote?mwenye uelewa na hili anifahamishe!