Wale wa udom

Joined
Jun 22, 2013
Posts
61
Reaction score
3
Habari zenu wakuu!naomba msaada kwa aliyeweza kufungua adm letters za UDOM,mimi nimejaribu kufuata maelekezo kama walivyoelekeza kwa kuingiza index no.ya form 4 kama username na surname kwaherufi kubwa kama password lakini inaniandikia 'username na password did not match'kama kunayeyote mwenye uelewa na hilo anisaidie wadau!
 
 
 
Keep trying! Kama inazingua jaribu kubadili jina yaan pasword na username unainterchange
 
mkuu angalia kwenye ile list ya majina ya udom surname yako ni ipi maana wana kawaida ya kuyageuza hata me yamenikuta hayo
 
Mmwaka huu issue tofauti na walivyoelekeza,,,,,user name ni sawa,,password usiingize sir name,,ingiza jina lako la mwanzo kabisa mfano,,, Leodigar apo utafanikiwa
 
ok kuna tatizo hapo mkuu mimi nilikua nalo pia lakin baada ya kuwasiliana nao kupitia namba zao za huduma kwa wateja hilo tatizo walilimaliza then nikafanikiwa kudownloa na kuprint.so ushauri wangu wasiliana nao kupitia namba walizozitoa kwenye website kwenye ALIS tatizo litakwisha.
 
Keep trying! Kama inazingua jaribu kubadili jina yaan pasword na username unainterchange

haifanyi kazi like that mkuu,hiyo ni system jaza kila field kwa kitu chake if iz password weka kama ni username weka mahala pake
 

ni kweli kabisa me pia nimefanya hvyo fasta tu nikaprint!!!
 
jaman wana wa udom wenzangu eti medical examination form tunazipataje???
 

asante sana mkuu ngoja niwapigie simu.
 
Afu kweli wana Udom!vipi kuhusu rooms chuo zipo zakutosha au ukichelewa inabid kukaa mitaani?
 
unaongea abt rumz udom?hatuna shida za rumzz pande izo tena nadhan nyingine zitakuwa wazi
 

mkuu nisaidie hiyo namba ya alis na mimi nina tatizo hilohilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…