Jackson Barnabas
Member
- Jun 22, 2013
- 61
- 3
Habari zenu wakuu!naomba msaada kwa aliyeweza kufungua adm letters za UDOM,mimi nimejaribu kufuata maelekezo kama walivyoelekeza kwa kuingiza index no.ya form 4 kama username na surname kwaherufi kubwa kama password lakini inaniandikia 'username na password did not match'kama kunayeyote mwenye uelewa na hilo anisaidie wadau!