wale wa UDSM 1st year watarajiwa

wale wa UDSM 1st year watarajiwa

pottasium

Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
91
Reaction score
5
et membar wezangu naomba mnisaidie naskia et kuna join instruction form zimetoka et ni kwel na pia naomben mnisaidie jins ya kupata admission latter m2 anafanyaje
 
et membar wezangu naomba mnisaidie naskia et kuna join instruction form zimetoka et ni kwel na pia naomben mnisaidie jins ya kupata admission latter m2 anafanyaje
Ukienda chuo utazipata au hata kwenye website ya chuo huwa wanaziweka unaweza kuzidownload
 
sio kila fomu una download! Admission letter unaipata palepale chuo na hutakiwi kuipoteza na unashauriwa kutoa copy nyingi ili upunguze risk ya kuipoteza kabisa...ni kitambulisho chako namba moja na hai expy mpaka miaka yako ya masomo iishe!
 
et membar wezangu naomba mnisaidie naskia et kuna join instruction form zimetoka et ni kwel na pia naomben mnisaidie jins ya kupata admission latter m2 anafanyaje

zitakuwa zinapatikana chuo maana nakumbua siku naripoti chuon tulipewa admision letter na documents zingine pale chuoni ila pia angalia website ya chuo kama zipo unaweza kuzidownload.
 
Back
Top Bottom