wale wa udsm tufamiane apa

wale wa udsm tufamiane apa

kama unaona kupima afya kwa daktari uzinguzi mwingi....nenda hosptali ya chuo mwaka jana ilikua unawapa elfu tano wanakujazia..hawakupimi wanakuuliza 2 ka una tatzo au huna! Kwa msiopenda shda nenda chuo 2 dakika 3 ushamaliza kila ki2!
 
Hongereni Kwa kuchaguliwa udsm Madogo......ila mjue kuna kubebana sio mtu anakuomba umbebe unafany roho mbaya. Huo ndio uhalisia wa udsm, kubebe ni lazima!

"kwishneyyy babu giii"
Hata wewe uandishi wako inaonyesha ni mtu wa kijiweni

#happynes we ni ndez unaona sasa achaga kuandika ujinga ujinga afu unajiona una akili embu
 
kuhusu suala la registration lazma uwe na admission letter ambayo inapatikana sehemu ulikopangiwa,main campus,DUCE na MUCE.Na vitu vinavyotakiwa wakati wa registration ni-1.direct costs 2.lazima ulipie accomodation kama umepata hosteli za chuo 3-vyeti vinavyotakiwa ni (a) academic certificate form 4(original na copy yake) (b) result slip ya form 6(original na copy yake) (c) birth certificate(original na copy yake) (d) death certificate kama umeondokewa na mzazi mmoja au wote(original na copy yake) (e) kama una matatizo ya kiafya uje na form ambayo umepimwa na daktari (f) vitu vingine utavijua tu pindi ufikapo chuo,karibu sana dogo UDSM.

asante bro je kama ukiripoti na vyet vyote tajwa hapo juu lakin bila result slip za form 6 itakua na madhara ktk usajili?
 
aise jamaani, hivi admission letters za udsm zimeshaanza kutokaa ????????????/
 
Admission letter ni barua rasmi inayo onesha degree program uliyo chaguliwa pamoja na namba yako ya usajili ambayo ni kama mbadala wa jina lako na utaitumia namba hyo kama jina lako maisha yako yote utakapo kua chuoni....

Safiii sana,nimekusoma mzee toure
 
Back
Top Bottom