wale wa udsm tufamiane apa

kama unaona kupima afya kwa daktari uzinguzi mwingi....nenda hosptali ya chuo mwaka jana ilikua unawapa elfu tano wanakujazia..hawakupimi wanakuuliza 2 ka una tatzo au huna! Kwa msiopenda shda nenda chuo 2 dakika 3 ushamaliza kila ki2!
 
Hongereni Kwa kuchaguliwa udsm Madogo......ila mjue kuna kubebana sio mtu anakuomba umbebe unafany roho mbaya. Huo ndio uhalisia wa udsm, kubebe ni lazima!

"kwishneyyy babu giii"
Hata wewe uandishi wako inaonyesha ni mtu wa kijiweni

#happynes we ni ndez unaona sasa achaga kuandika ujinga ujinga afu unajiona una akili embu
 

asante bro je kama ukiripoti na vyet vyote tajwa hapo juu lakin bila result slip za form 6 itakua na madhara ktk usajili?
 
aise jamaani, hivi admission letters za udsm zimeshaanza kutokaa ????????????/
 
Admission letter ni barua rasmi inayo onesha degree program uliyo chaguliwa pamoja na namba yako ya usajili ambayo ni kama mbadala wa jina lako na utaitumia namba hyo kama jina lako maisha yako yote utakapo kua chuoni....

Safiii sana,nimekusoma mzee toure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…