kwa wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza udsm tuliokosa mkopo kesho saa10 jioni tutakua na kikao na daruso, ni muhimu tunaombwa kufika.
Hujatuambia wewe ni nani, tunakutana wapi, kesho ya tarehe ngapi, ajenda ni zipi na DARUSO ni nani hasa tunakutana naye (Rais, Makamu, Waziri Mkuu au Waziri wa Mikopo)? Tafadhali kuwa wazi maana umetuchanganya sana sisi tuliokosa mikopo na hatujui pa kugeukia.
Rais wa chuo kikuu udsm walimuonea kumchagua,,,,akuna anachofanya kusaidia waanga wa mikopo,,,huyu jamaa,,,mimi siku ya kwanza nilivyomuona tu,na kauli zake,,ni mtu ambaye ni muoga sana,,ngoja aondoke tuchague jembe kutoka mwaka wa kwanza,,,mikopo ni issue serious,,lakini yuko kimya kama maji.,,,,,,
acha tukasikilize leo i hope kutakua na mambo mazuri.
asee mkuu naomba updates ya hiko kikao, mi pia nimekosa mkopo ila nimepata taarifa ya kikao too late nipo mbali sana saiv sitaweza kuhudhuria..