wale wa udsm tuliokosa mkopo.

wale wa udsm tuliokosa mkopo.

kalipeni

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
1,571
Reaction score
1,328
kwa wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza udsm tuliokosa mkopo kesho saa10 jioni tutakua na kikao na daruso, ni muhimu tunaombwa kufika.
 
Hujatuambia wewe ni nani, tunakutana wapi, kesho ya tarehe ngapi, ajenda ni zipi na DARUSO ni nani hasa tunakutana naye (Rais, Makamu, Waziri Mkuu au Waziri wa Mikopo)? Tafadhali kuwa wazi maana umetuchanganya sana sisi tuliokosa mikopo na hatujui pa kugeukia.
 
kama wewe ni wa udsm tangazo lipo yombo4, tunakutana yombo na viongozi wa daruso hasa wanaohusika na mikopo.
 
Rais wa chuo kikuu udsm walimuonea kumchagua,,,,akuna anachofanya kusaidia waanga wa mikopo,,,huyu jamaa,,,mimi siku ya kwanza nilivyomuona tu,na kauli zake,,ni mtu ambaye ni muoga sana,,ngoja aondoke tuchague jembe kutoka mwaka wa kwanza,,,mikopo ni issue serious,,lakini yuko kimya kama maji.,,,,,,
 
acha tukasikilize leo I hope kutakua na mambo mazuri.
 
asee mkuu naomba updates ya hiko kikao, mi pia nimekosa mkopo ila nimepata taarifa ya kikao too late nipo mbali sana saiv sitaweza kuhudhuria..
 
Kikao ni saa,kumi leo pale yombo 4,,,jitaidi kuuzulia kijana,,,,tusikilize viongozi ambao wameshindwa kutetea masilahi ya wanachuo,,,,,
 
Mkuu nipo mbali, ningependa sana kuhudhuria lakin mambo flan yameingiliana tafadhali naomba feedback bdae..please
 
unajua mambo mengine tuwe tunatumia pm na # zetu za cm mashushu wapo humu watabana.
 
Mkuu ndo mana nime ku PM namba yangu ya cmu..cheki kwenye inbox yako..
 
Hujatuambia wewe ni nani, tunakutana wapi, kesho ya tarehe ngapi, ajenda ni zipi na DARUSO ni nani hasa tunakutana naye (Rais, Makamu, Waziri Mkuu au Waziri wa Mikopo)? Tafadhali kuwa wazi maana umetuchanganya sana sisi tuliokosa mikopo na hatujui pa kugeukia.

Informer wa utawala, weka mbali na watoto.
 
Kuna mtu asiyependa chuo? Uliza kilichowakuta akina kilawa na mgomo wa mwaka 2011 kwenye mwezi wa kumi na mbili hv::

Back
Top Bottom