Kwani huko Pakistan bia/kilevi hakipo? Nchi kuitwa ya kiislam/kikristo haina maana dini nyingine hazipo. Mfano ni Italy yaliko makao ya Papa, ndiko kwenye madanguro, au Uk yaliko makao ya Anglican,si umesikia juzi PM wao anasema inabidi tufanye mchezo mbaya, na makasisi wake hawajamtenga. Siungi mkono ulevi,ila tukubali kutofautiana ki-staraabu ili tuishi pamoja.