Wale wa wazee wa Mundende (bia) kule Pakistani

Wale wa wazee wa Mundende (bia) kule Pakistani

Kubingwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2010
Posts
505
Reaction score
69
wadau Pakistan wameanza kutengeneza bia,sasa kwa maadili ya dini yetu inakuwaje kwa TESTER kucheki kama kimea kimeiva?
 
Kutest kwani ni lazima kunywa? Watatumia njia ya kitaalam zaidi
 
SAAB nao kule mozambique wameanza kutengeneza bia ya mihogo
 
wadau Pakistan wameanza kutengeneza bia,sasa kwa maadili ya dini yetu inakuwaje kwa TESTER kucheki kama kimea kimeiva?

Kwani huko Pakistan bia/kilevi hakipo? Nchi kuitwa ya kiislam/kikristo haina maana dini nyingine hazipo. Mfano ni Italy yaliko makao ya Papa, ndiko kwenye madanguro, au Uk yaliko makao ya Anglican,si umesikia juzi PM wao anasema inabidi tufanye mchezo mbaya, na makasisi wake hawajamtenga. Siungi mkono ulevi,ila tukubali kutofautiana ki-staraabu ili tuishi pamoja.
 
Back
Top Bottom