Wale wa wizara ya afya certficate

Joined
Jun 13, 2013
Posts
14
Reaction score
0
kutoka jikoni ni kwamba majina ya wanafunzi walio apply vyuo vya uuguzi yangetakiwa kutoka leo lakini kutokana na tatizo la mtandao wameshindwa kuyaweka kwa hiyo majina hayo yatawekwa website ya wizara ya afya matengenezo yakishakamilika
 
umezungumzia certificate tu, diploma vipi,.
 
Mbona sasa kwenye website yao hamna kitu jamani
 
Ngoja ngoja yaumiza matumbo!!! Washatufanya maboya awa ila kwakuwa tunashida ngoja tusubiri 2!!!
 
Acha Mizinguo,Kwani We Kuingia Jf Kupost Mtandao Haukuwepo! We Kweli Wa Digital!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…