PreGE2025 Wale wabunge 19 watakaoomba kurudi CHADEMA wapokeeni, watakuwa na nia safi kwa sasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mwana kondoo 2025

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2025
Posts
495
Reaction score
580
Mimi siyo mwanachama wa chama chchote lakini kwa hali ilivyo ya Chadema ni vyema kuwarudisha wabunge 19 wenye nia ya kufanya siasa ndani ya chadema.

Nadhani Lisu aliwahi kutoa hata utaratibu wa kuwarejesha fanyeni hivyo, Mtu kama Halima, Bulaya, ni asset mbali na mambo yaliyotokea tumeona Komu, Dr Slaa wamerudi na wanapiga siasa vizuri tu. vivyo hivyo kwa wengine wenye nia ya kuridishiwa uanachama wao.

Tumeona wengine waliokwenda chaumma wamerudi na kurejeshwa ndiyo siasa zilivyo sawa na club za mipira. Chadema be flexible kwenda na mazingira ya kisiasa ya sasa. Kumpata mtu anayetaka kurudi kwenye siasa ngumu za kuteseka na dola upande wa Chadema mwangalie mara mbili, huyo siyo wa kumwacha. Amejifunza kitu.
 
Ni jambo jema, kama wasiporudi chadema watakuwa washapotea kisiasa kule CCM huwezi kupata hata ubunge wala udiwani watu wa natoana roho huko, huku chauma hakuna uungwaji wa wananchi kule ACT hakuna kitu ni muhimu kurudi home
 
by nature any human being has some elements of tratorship. "Aliye safi amponde jiwe mama huyu" Jesus
 
Mdee na Bulaya warejeshwee kundini haraka iwezekanavyo, hawa ni wapinzani wa kweli.
 
Once a traitor always a traitor
Ongea hivyo ukiwa hujawai kufanya makosa kabisa lakini kama na wewe ni mkosaji unapaswa kusamehe, endapo mtu ataamua kubadilika msamaha ni jambo lenye hekima kubwa
 
Chadema ikizubaa itarudisha mapandikizi yatakuja kuwasumbua wawe makini Chadema
 
Hata km simfahamu, hainipi hoja ya kuto mtetea ktk hili, mbona Slaa alisaliti na amepokelewa, kwanini ngumu kwa Mdee na Bulaya?
Mimi sio mwanachama wa Chadema ayo ngoja tuachie nyie Chadema wenyewe
 
Mdee na Bulaya warejeshwee kundini haraka iwezekanavyo, hawa ni wapinzani wa kweli.
Mpaka waseme aliyewapatia mhuri wa kuwapeleka Bungeni!. Nje ya hapo hawafai ni majambazi.
 
Kwanini wasiulizwe wahusika, km m/kiti, katibu, makamu, wa wakati huo, hao ndo wanajua kila kitu.
 
Mimi siyo mwanachama wa chama chchote lakini kwa hali ilivyo ya Chadema ni vyema kuwarudisha wabunge 19 wenye nia ya kufanya siasa ndani ya chadema.

Nadhani Lisu aliwahi kutoa hata utaratibu wa kuwarejesha fanyeni hivyo, Mtu kama Halima, Bulaya, ni asset mbali na mambo yaliyotokea tumeona Komu, Dr Slaa wamerudi na wanapiga siasa vizuri tu. vivyo hivyo kwa wengine wenye nia ya kuridishiwa uanachama wao.

Tumeona wengine waliokwenda chaumma wamerudi na kurejeshwa ndiyo siasa zilivyo sawa na club za mipira. Chadema be flexible kwenda na mazingira ya kisiasa ya sasa. Kumpata mtu anayetaka kurudi kwenye siasa ngumu za kuteseka na dola upande wa Chadema mwangalie mara mbili, huyo siyo wa kumwacha. Amejifunza kitu.
Shetani hana Rafiki
 
Kwanini wasiulizwe wahusika, km m/kiti, katibu, makamu, wa wakati huo, hao ndo wanajua kila kitu.
Kamati kuu ilishawafukuza hawafai, na hawatapokelewa bila kutimiza matakwa ya chama.
 
Mimi siyo mwanachama wa chama chchote lakini kwa hali ilivyo ya Chadema ni vyema kuwarudisha wabunge 19 wenye nia ya kufanya siasa ndani ya chadema.

Nadhani Lisu aliwahi kutoa hata utaratibu wa kuwarejesha fanyeni hivyo, Mtu kama Halima, Bulaya, ni asset mbali na mambo yaliyotokea tumeona Komu, Dr Slaa wamerudi na wanapiga siasa vizuri tu. vivyo hivyo kwa wengine wenye nia ya kuridishiwa uanachama wao.

Tumeona wengine waliokwenda chaumma wamerudi na kurejeshwa ndiyo siasa zilivyo sawa na club za mipira. Chadema be flexible kwenda na mazingira ya kisiasa ya sasa. Kumpata mtu anayetaka kurudi kwenye siasa ngumu za kuteseka na dola upande wa Chadema mwangalie mara mbili, huyo siyo wa kumwacha. Amejifunza kitu.
Kama sio mwanachama wa chama chochote una uhalali gani wa kujifanya mjuaji wa masuala ya vyama na wanachama? Au ndio unaonesha wewe ni bonge la mnafiki?
 
Back
Top Bottom