Wale wacheza kamari CASSINO tukutane hapa

Duh mi nimekuwa nikicheza haya mabonanza ya mchina. Sometimes nakula around laki 1 had mbili kwa mtaji wa less than 20k. Ila kuna kipind limekuwa likinifulluliza na kunila. Nikijumlisha kwa mwezi najikuta nimeliwa 1m had 2m. Sasa nmeamua kuliacha kabisa maana haiwezekeni nibangaize pesa uko alafu mwisho wa siku nampelekea mchina na nashindwa fanya maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika kitu ambacho roho inaniuma ni kamari, yaaan kunasiku nimeliwa buku 2000 kama nimeliwa laki vile, nashukuru Mungu Kwamba nimeushinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole saana bonanza sio mchezo ni uchafu,hauwezi kuwin zaid ya laki2 kwa mpigo.

Lakini kasino unaweza win hata m10 kwa mara 1 kwa elfu 10 ikikubali ila inategemea na mchezo wako ni aina gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia mdau wa hizo gambling
But maeneo nilipo
Wadau wenye kadi hula pesa mingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…