Nilishatoka huko bora nibakie kwenye mtungi maana yaliyonikutaga huko sina hamu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia mdau wa hizo gambling
But maeneo nilipo
Wadau wenye kadi hula pesa mingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kadi haina maana zaidi ya kutunza hizo point za kuchukulia bonas tu mkuu.
You've got to know when to hold 'emEvery hand is a winner, and every hand is a looser but INTELIGENCE matters.
Gambling haitegemei BAHATI peke yake, lazima uwe na kichwa chepesi, mwizi, muongo, mhuni, tapeli na KIPAJI pia. Lazima ujue muda gani utupe, muda gani usubiri, muda gani ukimbie mbio nyingi sana.
Haka kamkeka kakijinga sana,nmecheka sanaPesa kubwa niliyowahi kuliwa Ni million Saba
Oya nawazingua buana Mimi nitapatia wapi million Saba cassino yenyewe sijawahi hata kuingia
Mimi Ni mdau was betting ya kawaida tu
View attachment 980225
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia bitcoin ku withdraw na depositMimi nimpenzi Sana wa online games ila psychology imenishinda hua nakula sanaaaa ila najikuta napoteza kabisaaa in very short time...
Mchezo wangu mkubwa Ni DICE (Over/under7) hua naumia Sana naeza anaza na 5k mpaka 200k ila BOOOOOMMMM Nina 0 yani nimeshindwa kujicontrol kabisaaa...
Kuna mda nachukua mpunga nasema sichezi tena ila ghafla nsharudi online nagongwa yote....
Huu ugonjwa sijui niutib VIP
1xbet walivyotoa option ya mobile payment Nimeacha japo Kila siku nachungulia ka washarudisha.
Madawa ya kulevya mkuuHizo mambo ulizoainisha hapa kama ni kweli basi hii kitu ni yakuweka mbali na watoto.
Nakuacha haiwezekaniki kirahisi ni kama ujambazi maana ukipiga ni umepiga mpaka mtu umtoe huko aje akusanye buku buku mpaka zifike 27mill ngumu sana anaona hatofika safari yake ya mafanikio.
Sent from my Redmi Note 5 using Jamii Forums mobile app