Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Hirizi FC.Nimecheka balaa, jamaa kaingia na bima ya afya!! Namkumbuka mbeba power bank wa timu enzi hizo (Papaa Ndaw). Ama kweli hasidi haachi asili.
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hirizi FC.Nimecheka balaa, jamaa kaingia na bima ya afya!! Namkumbuka mbeba power bank wa timu enzi hizo (Papaa Ndaw). Ama kweli hasidi haachi asili.
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Kagere na hirizi hii ni aibu kwa mpira wetuu
Hirizi Mbona Ni Ya Kelvin YondaniBora hatuwaoni ila Kagere na hirizi hii ni aibu kwa mpira wetuu😂😂
POWER BANK FCHirizi Mbona Ni Ya Kelvin Yondani
Aiseeeee!ndio zao hao,si unamkumbuka Pape Ndew alivyokamatwa na power bank kiuononi?kagere alienda na bima ya afya uwanjani
hawa jamaa itabidi kuwakaguaAiseeeee!ndio zao hao,si unamkumbuka Pape Ndew alivyokamatwa na power bank kiuononi?
Sent using Jamii Forums mobile app