KAWAIDA UNA KWENDA KWENYE OFISI ZA KAMPUNI HUSIKA.THEN WANA UPAGRADE HICHO KIWANGOUnaishift vipi lain kutoka daraja moja hadi la 3?
Duuuh! Kwanza imeandikwa salio lako ni mpesa badala sakio lako la mpesa.
Niliona kwenye tarrif poster yao wanasema
"You can have up to 10m in your account" sasa nawaza zaidi ya 10m imekaaje..
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Tier 3 naona moslty ni Makampuni/biashara tena zikizokua registered mana naona kuna Tin na kuna Biz lisence, ila kama ni hizo personal mwamba katupiga
Pia meseji mwesho imeandikwa SALIO LAKO NI M-PESA NI.... (ilitakiwa SALIO LAKO LA M-PESA NI)
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Mpesa Haina kujibu sms a sender doesn't support a reply
Ndio umekaririshwa Kama sio brainwashed kujiona kuwa uko juu kisa unawapa wanaume wenzako jasho lako. Utakuta mbunifu wa iPhone mwenyewe haitumii ujue. Anawaza how to Invest in his generation benefits for 300yrs to come.Badilisha ununue simu achana na hayo mawasiliano iphone sms zote zina sehemu ya replayView attachment 2235473
Ila watu wa forex waongo waongo sana sijui kwanini 😀😀😀Mpesa Haina kujibu sms a sender doesn't support a reply
Mkuu hii kitu ni rahisi Sana kuifundisha ama kuifundisha Ila mtiti ni kuifanya. You need iron balls and ice cold blood in veins and arteries. Sio kirahisi Kama inavyoonekana kwa juu juu Ila inafanyikaIla watu wa forex waongo waongo sana sijui kwanini 😀😀😀
Hahaa uwiiNdio umekaririshwa Kama sio brainwashed kujiona kuwa uko juu kisa unawapa wanaume wenzako jasho lako. Utakuta mbunifu wa iPhone mwenyewe haitumii ujue. Anawaza how to Invest in his generation benefits for 300yrs to come.
Don't find external validation,may be you feel inadequacy so unadhani kununua vya ghali will lift your value.
Going outside buying expensive cigarette doesn't make you rich my sister.
You've to think to every minute how much you earn to your pocket.
Focus on asset not liabilities just to satisfy your limbic brain
Halafu hata yaliyoandikwa kwenye vitabu ni tofauti na kwenye mt4. Hapo ndiyo mziki unapoanza.Mkuu hii kitu ni rahisi Sana kuifundisha ama kuifundisha Ila mtiti ni kuifanya. You need iron balls and ice cold blood in veins and arteries. Sio kirahisi Kama inavyoonekana kwa juu juu Ila inafanyika
Narudia forex Bible kwa mara ya saba, kwa sasa natafuta ya kilatiniHalafu hata yaliyoandikwa kwenye vitabu ni tofauti na kwenye mt4. Hapo ndiyo mziki unapoanza.
Wewe ni tapeli na unafaa kutangazwa kama laana ya taifa.Kaunguza ye mwenyewe aliemtuma afungue possition zote nani na hadi loss inafika uko hafungi tuu soko la babu yake hili
View attachment 2188335
Kaunguza ye mwenyewe aliemtuma afungue possition zote nani na hadi loss inafika uko hafungi tuu soko la babu yake hili
Tapweli
AhahahaWhen trade is in......
View attachment 2228324
M-PESA ya mchongo yenye Reply [emoji1787][emoji1787]Kaunguza ye mwenyewe aliemtuma afungue possition zote nani na hadi loss inafika uko hafungi tuu soko la babu yake hili
View attachment 2188335
Wewe ni tapeli.Nitapeli ili iweje kwni kunasehmuu nimeweka nauz signal au natoa mentorship, uzuri wanonifuata wote nawafundisha bure, na wengi wametoboa ,na sifanyi tena imetosha,
Fx nimeijua 5 years ago humu humu jf izo withdrawal ya 5000$i harufu tu ya pesa kwa trader wengine
Ina fanyika wapi hii?!!Mkuu hii kitu ni rahisi Sana kuifundisha ama kuifundisha Ila mtiti ni kuifanya. You need iron balls and ice cold blood in veins and arteries. Sio kirahisi Kama inavyoonekana kwa juu juu Ila inafanyika
Kwahiyo hasara kwenye biashara ni kawaida sana [emoji23][emoji23]Narudia forex Bible kwa mara ya saba, kwa sasa natafuta ya kilatini
Ila forex is real ila haimfai mfanyakazi kwan hawajaxoea kuona hasara in their undertakings