Wale wahamasishaji wa Forex kupitia Twitter wameshaunguza account ya mtu huko

Wale wahamasishaji wa Forex kupitia Twitter wameshaunguza account ya mtu huko

Duuuh! Kwanza imeandikwa salio lako ni mpesa badala sakio lako la mpesa.

image-2022-05-23-13:20:42-932.jpg

Acha wenge yuko sawa
 
Badilisha ununue simu achana na hayo mawasiliano iphone sms zote zina sehemu ya replayView attachment 2235473
Ndio umekaririshwa Kama sio brainwashed kujiona kuwa uko juu kisa unawapa wanaume wenzako jasho lako. Utakuta mbunifu wa iPhone mwenyewe haitumii ujue. Anawaza how to Invest in his generation benefits for 300yrs to come.

Don't find external validation,may be you feel inadequacy so unadhani kununua vya ghali will lift your value.
Going outside buying expensive cigarette doesn't make you rich my sister.
You've to think to every minute how much you earn to your pocket.
Focus on asset not liabilities just to satisfy your limbic brain
 
Hahaa uwii
 
Halafu hata yaliyoandikwa kwenye vitabu ni tofauti na kwenye mt4. Hapo ndiyo mziki unapoanza.
Narudia forex Bible kwa mara ya saba, kwa sasa natafuta ya kilatini

Ila forex is real ila haimfai mfanyakazi kwan hawajaxoea kuona hasara in their undertakings
 
Hello, Habari njema kutoka Tickmill ni kwamba Sasa unaweza deposit na withdraw kwa kupitia M-PESA TANZANIA , Hii ni instant Yani ndani ya dakika 5 muamala wako unakuwa umekamilika na Wala hatumii agent Kama broker wengine,,

Tickmill ni moja ya broker wazuri kwenye hii industry ya Forex , kwanza Spreads Ni ndogo Sana , hakuna manipulation ya soko , ukiachana na Hilo Tickmill anatoa welcome bonus ya $30 ambayo anapata kila mteja mpya anayejiunga na Tickmill , wale wasiojua maana ya bonus Ni mtaji ambao broker anakuwekea kwenye account yako ili uanze kutrade , hauna masharti ukikuza unaweza kuwithdraw . kufungua account bonyeza link hapo chini Kisha chagua welcome bonus account
 
Nitapeli ili iweje kwni kunasehmuu nimeweka nauz signal au natoa mentorship, uzuri wanonifuata wote nawafundisha bure, na wengi wametoboa ,na sifanyi tena imetosha,
Fx nimeijua 5 years ago humu humu jf izo withdrawal ya 5000$i harufu tu ya pesa kwa trader wengine
Wewe ni tapeli.
 
Mkuu hii kitu ni rahisi Sana kuifundisha ama kuifundisha Ila mtiti ni kuifanya. You need iron balls and ice cold blood in veins and arteries. Sio kirahisi Kama inavyoonekana kwa juu juu Ila inafanyika
Ina fanyika wapi hii?!!
 
Narudia forex Bible kwa mara ya saba, kwa sasa natafuta ya kilatini

Ila forex is real ila haimfai mfanyakazi kwan hawajaxoea kuona hasara in their undertakings
Kwahiyo hasara kwenye biashara ni kawaida sana [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom