Umepata pesa mkuu?Nzuri nimeipenda
Hebu komaa.. alafu ulete mrejeshoUmepata pesa mkuu?
Mi nimefikisha dola 9 nikataka kuitoa wakakataa. Wanasema mpaka ifike dola 150.
Lakin hata hivi nina wasiwasi.
Hivi inawezekana kupata pesa kiurahisi hivyo kweli au wanatufanyia mazingaombwe?[emoji16]
Umepata pesa mkuu?
Mi nimefikisha dola 9 nikataka kuitoa wakakataa. Wanasema mpaka ifike dola 150.
Lakin hata hivi nina wasiwasi.
Hivi inawezekana kupata pesa kiurahisi hivyo kweli au wanatufanyia mazingaombwe?[emoji16]
SCAMWale wahanga wa ajira,nimeona niwashirikishe fusra hii ya kuweza kujiingizia kipata ukiwa nyumbani. Nimeona niwashirikishe maana nami nimeshirikishwa. Fungua hiyo link na ujiunge leo na uanze kujiingizia kipato.
£150*2285=342,750/=Hata mimi imekataa kutoka chini ya dola 150 ngoja nikomae ila zoezi linataka muda wa ziada hivi kwa dola 150 sawa na sh.ngapi kwa pesa ya bongo sasa?