xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,910
hahahaaaaaHahaha naamini huwa wanakutana na baba huruma pia
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaaaaHahaha naamini huwa wanakutana na baba huruma pia
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Hao watoto unataka kufungu shule mkuu au kituo cha tutionMwaka huu nahamia forest, vp kuna watoto wengi huko?
Yaani umesema ukweli mtupu,mi milipoenda mikoa ya Kaskazini,mfano Manyara kwa Wambulu,Arusha n.k ndo nilijua kua mikoa yakwetu hakuna mademu wakali... ila poa tu tunaenda nao hivyohivyo.Kanda ya kusini mikoa ya iringa,njombe,na mbeya mazingira yapo green hadi raha.
Shid ya hiyo kanda kwa upande wa akina dada kwa kweli hawakujaliwa kama kanda zingine,wadada wana sura ngumu balaa utadhani wanaume
Aaaaaaaah Bob, namaanisha sketi mkaliHao watoto unataka kufungu shule mkuu au kituo cha tution
Natania tu
Nilikwelewa ndo maana niliandika chini nataniaAaaaaaaah Bob, namaanisha sketi mkali
when you are in town, please let me know..Iko siku nitakuja kumuona Mungu akinijalia nitafika huko soon
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
[emoji15] [emoji15] unogagePlease guys......here is a greater thinkers's forum...so dont bring that nonsance of yours ok!....by the way...am kamwene.
hapo kiwira ndio maskani mkuu karibu na shule ya msingi goje, ukitokea kituo cha polisi ile njia ya kwenda ilongoboto mbele kidogo ya makaburi ya waislamu, ila kwa sasa nipo mbalizi ndio nafanyia shughuli zangu huku.

poa mkuu!ukija huku we tutafutane!
Same hereMbaliz
Mwe ugwe bashite gwa kutukuju ntitu ulinkafu?Isalishi indi msange
mukamu mwaghonaKatengele tulipoooo
Indi chikafu indipo ngukafuka ni chisu chitamweMwe ugwe bashite gwa kutukuju ntitu ulinkafu?
Sawa mkuuwhen you are in town, please let me know..
Ndaga songo utwa kukwinuumukamu mwaghona