Wale waishio mikoa ya nyanda za juu kusini, tufahamiane hapa

Mwaka huu nahamia forest, vp kuna watoto wengi huko?
 
Kanda ya kusini mikoa ya iringa,njombe,na mbeya mazingira yapo green hadi raha.
Shid ya hiyo kanda kwa upande wa akina dada kwa kweli hawakujaliwa kama kanda zingine,wadada wana sura ngumu balaa utadhani wanaume
Yaani umesema ukweli mtupu,mi milipoenda mikoa ya Kaskazini,mfano Manyara kwa Wambulu,Arusha n.k ndo nilijua kua mikoa yakwetu hakuna mademu wakali... ila poa tu tunaenda nao hivyohivyo.
 
[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Please guys......here is a greater thinkers's forum...so dont bring that nonsance of yours ok!....by the way...am kamwene.
 
hapo kiwira ndio maskani mkuu karibu na shule ya msingi goje, ukitokea kituo cha polisi ile njia ya kwenda ilongoboto mbele kidogo ya makaburi ya waislamu, ila kwa sasa nipo mbalizi ndio nafanyia shughuli zangu huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…