Wale wajuzi wa ngeli, nipeni english version ya sentensi hii

Wale wajuzi wa ngeli, nipeni english version ya sentensi hii

Mmepata taabu kweli, jf expert member najibu; "Father, which number I belong in your children's chronological births?. Mnanisamehe Mimi ni product ya shule za kata.
 
google bado haijawa na uwezo fasaha wa kutasfiri SENTENSI ya kiswahili,siyo kitu ya kuamini kabisa

Siyo tuu kiswahili pia inakosea kwenye lugha nyingine nyingi. Haikupi exactly translation for example English to Chinese or English to Spanish. Pia kama ni kutafsiri ni sentence nyingi haiwezi kutafsiri vizuri. Google ni nzuri kama unataka kutafsiri neno moja moja lakini kama unatafuta meaning of paragraph yote or page yote nzima google siyo nzuri.
 
Siyo tuu kiswahili pia inakosea kwenye lugha nyingine nyingi. Haikupi exactly translation for example English to Chinese or English to Spanish. Pia kama ni kutafsiri ni sentence nyingi. Google ni nzuri kama neno moja moja lakini kama unatafuta meaning of paragraph or page yoye siyo nzuri.
LUGHA WALIO NA UWEZO NAYO NI UNG'ENG'E TU, LAZIMA WATAKUREKEBISHIA USIPOANDIKA VIZURI
 
Wanaoiendesha google ni watu kama wewe ndio maana na wao wanashindwa kuweka sentensi kwenye mpangilio mzuri

It not people who provide google translation my friend, everything is computerized. It is done automatically by computers.
 
There is no good phrase for that in English.

Quite simply, it's one of those things in English where we all know there's no good clear phrase for it -- what you normally do is bumbling out something such as "So, like, you have older brothers - sisters I mean - or young or what, were you the oldest, youngest, or in between?" or something like "where do you fit in your family, oldest, youngest or?" ("Fitting in" with your family is confusing as it has other connotations, but you sometimes hear that.)

There's just no good clear way to say it.

Note that the many many many tediously linked answers contain ...... not one good suggestion. Not scientific proof, but a excellent pointer that, in fact, there's no such term here.

It's extremely important to remember that the "no" answer to SWRs is, uhh, very important - and you should remember that.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu ndiye aliyegundua Computer na akaiwekea masharti ya kujiendesha.

Kwa hiyo hayo ni makosa ya watu.

Kwa sasa hivi computers ni nzuri sana ukiipa formula. Ndiyo maana inatuzidi sisi wanadamu kufanya hesabu. Lakini kama formula aiko very clear computer huwa ina tatizo kwa mfano kwenye lugha. In the future computers zinaweza kuwa na akili karibu na za wanadamu because of Artificial Intelligence. Lakini ni miaka mingi itapita kabla ya computer kufikia sehemu hii.
 
baba mimi ni mtoto wako wa ngapi kuzaliwa?
Huo ni utovu wa nidhamu kumuuliza baba yako ww ni wangapi kuzaliwa , maana inazua maswali mengi kuliko majibu, inamaana unahis baba yako ana mchepuko au unahis ww sio mwanawe. huoni utasababisha tafrani kwa wazaz wako.

achana na mambo kuharibu familia leta swali lingine...
 
Mkitafsiri moja kwa moja mtapotea kabisa jaribuni kutafuta maana ya sentesi hiyo then itafutie maneno ya lugha unayotaka iwe, kwanza kama una uwezo wa kuuliza swali kama ilo utakosaje uwezo wa kujua kwenu mko wangapi na wee ni wa ngapi kuzaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Father , in a number of your all children, I ascending where?
 
Back
Top Bottom