Kwa wale wakali wa hizi show ambao wao ni domo zege Ila ukija upande wa simu ukishampa tu namba utashangaa anavyotiririka na verse.
Wale ambao wao ni waoga kutongoza pisi kali eti mpaka wapate namba[emoji1701][emoji1701].
Hawa eti wanasema ukiwapa namba hata dakika 5 hazipiti mtoto ashaingia box
Yaani wao wakiona ka lady kazuri utaskia nikipata namba yake basi[emoji1362]
Mbadilishane hapa mawazo basi na wale wajuzi wa kutongoza ana kwa Ana...muone nani super