Wale Wakali wa Kutongoza Kwenye Simu/ChatTukutane Hapa...!

Wale Wakali wa Kutongoza Kwenye Simu/ChatTukutane Hapa...!

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Kwa wale wakali wa hizi show ambao wao ni domo zege Ila ukija upande wa simu ukishampa tu namba utashangaa anavyotiririka na verse.

Wale ambao wao ni waoga kutongoza pisi kali eti mpaka wapate namba[emoji1701][emoji1701].
Hawa eti wanasema ukiwapa namba hata dakika 5 hazipiti mtoto ashaingia box

Yaani wao wakiona ka lady kazuri utaskia nikipata namba yake basi[emoji1362]

Mbadilishane hapa mawazo basi na wale wajuzi wa kutongoza ana kwa Ana...muone nani super
 
Hata mimi nasubiri hiyo elimu, kuna pisi nataka nimchek muda sio mrefu
 
Back
Top Bottom