luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Big pin hana lolote yupo kwenye game mwaka wa 20 sasa ata Somalia hajulikani.
hahahaha tatizo la baadhi ya wasanii wa kenya wanajihisi wanaishi mamtoni yaani they think they done...mfano nilikuwa namcheki huyu jamaa aliyeshirikiswa na tanasha ...jamaa utazani anaishi mamtoni .kwa katabia hako hawataweza shindana na kasi ya mnaija kbs kama lengo ni kupush mziki wao yaani ni lzm wabadilike wawe normal wawe focus dynamic eager to penetrate sio kinyongo like ile play KE music yaan ile waiache wa push atleast huyu dogo will pozee jamaa ata push somehow sababu jamaa yupo dynamic hana unyamwezi mwingi ..unajua kwa kenya kuna ile kitu tunaita cultural diversity ss hii kidogo wapo wanayo ipenda that why unakuta msanii anataka aishi kama mbele wakati africa ni africa matajiri wakubwa wenyewe akina dangoteee they live in africa style sio uzungu mwingi unamuona msanii kama davido ana mkwanja mrefu lkn african style ndio imemtengeneza sanaaa.
wakichukia that is my shot to the artistee