Wale waKenya ambao husemaga wabongo wana inferiority complex wamepotelea wapi

Big pin hana lolote yupo kwenye game mwaka wa 20 sasa ata Somalia hajulikani.

hahahaha tatizo la baadhi ya wasanii wa kenya wanajihisi wanaishi mamtoni yaani they think they done...mfano nilikuwa namcheki huyu jamaa aliyeshirikiswa na tanasha ...jamaa utazani anaishi mamtoni .kwa katabia hako hawataweza shindana na kasi ya mnaija kbs kama lengo ni kupush mziki wao yaani ni lzm wabadilike wawe normal wawe focus dynamic eager to penetrate sio kinyongo like ile play KE music yaan ile waiache wa push atleast huyu dogo will pozee jamaa ata push somehow sababu jamaa yupo dynamic hana unyamwezi mwingi ..unajua kwa kenya kuna ile kitu tunaita cultural diversity ss hii kidogo wapo wanayo ipenda that why unakuta msanii anataka aishi kama mbele wakati africa ni africa matajiri wakubwa wenyewe akina dangoteee they live in africa style sio uzungu mwingi unamuona msanii kama davido ana mkwanja mrefu lkn african style ndio imemtengeneza sanaaa.
wakichukia that is my shot to the artistee
 
lakini Kenya na mamtoni ni kimoja... soon tunaingia ulimwengu wa kwanza, kwa sasa tuko ulimwengu wa pili na lazma tuendanishe na kasi ya maisha.
 
lakini Kenya na mamtoni ni kimoja... soon tunaingia ulimwengu wa kwanza, kwa sasa tuko ulimwengu wa pili na lazma tuendanishe na kasi ya maisha.
Westerners wenye ss ov wanapunguza ile life system yao na nyie ndio mnaona ile ndo bora ....first of all unaposema mnakaribia kuishi maisha ya ulimwengu wa kwanza unamaanisha uwepo wa majengo marefu hapo nairobi au
 
kitu gani hicho wanaongeza na kupunguza??
nikisema ulimwengu wa kwanza, namaanisha miundo mbinu na living standards za wananchi wa Kenya. Kenya na Tanzania ni kama mbingu na ardhi, two different worlds apart. Tanzania bado wako nyuma sana kimaendeleo na hata kifikra pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…