Wale wakusema Tanzania inalisha Kenya

Wakenya wanasumbua Sana mipakani mwetu Sasa hv kilasiku wanakamatwa na bodaboda zao kufata chakula kupitia njia za panya, ujiulizi kwanini watanzania hawakamatwi wakienda Kenya kufata chakula?.
Mbona Wabongo mnatoa povu namna hii. Ama ni kwa sababu mleta mada ameongea ukweli kwamba hamtulishi? Mna vituko sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetembelea sehemu gani ya Kenya wee mjua-yote?
 
Wakenya wanasumbua Sana mipakani mwetu Sasa hv kilasiku wanakamatwa na bodaboda zao kufata chakula kupitia njia za panya, ujiulizi kwanini watanzania hawakamatwi wakienda Kenya kufata chakula?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kusafiri Hadi Dar ni shida kwa mtanzania wa kawaida sembuse kuingia Kenya?
 
Sasa unabisha nini wewe Nyang'au?

Kwani hizo habari si ziliandikwa na Mkenya mwenzenu na akapost kabisa kwenye mitandao?

Unabisha hata usichokijua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are correct,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Wabongo mnatoa povu namna hii. Ama ni kwa sababu mleta mada ameongea ukweli kwamba hamtulishi? Mna vituko sana.
Kuna video imesambaa kwenye mitandao Kuna mchina amemwita Raisi wenu monkey pamoja na wakenya wote,mpambane kwanza na huyo mchina tena yuko nchini kwenu
 
Kuna video imesambaa kwenye mitandao Kuna mchina amemwita Raisi wenu monkey pamoja na wakenya wote,mpambane kwanza na huyo mchina tena yuko nchini kwenu
Hio ni video ya zamani na pia ashakuwa deported. Anakula githeri huko kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…