Wale wakusema Tanzania inalisha Kenya

Wale wakusema Tanzania inalisha Kenya

Wakenya wanasumbua Sana mipakani mwetu Sasa hv kilasiku wanakamatwa na bodaboda zao kufata chakula kupitia njia za panya, ujiulizi kwanini watanzania hawakamatwi wakienda Kenya kufata chakula?.
Mbona Wabongo mnatoa povu namna hii. Ama ni kwa sababu mleta mada ameongea ukweli kwamba hamtulishi? Mna vituko sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka maisha ya Kenya tunayafaham....you guys earn a daily pay which ends up in nakumati stores....no food reserve in your homes....most of you have no Land....it all belongs to kenyata family....unabisha?? Hapo unapoishi ni kwenye estate ya developers....unabisha? Matatu unayopanda ni Sacco....unabisha? You don't own anything as a real man....shame!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Umetembelea sehemu gani ya Kenya wee mjua-yote?
 
Wakenya wanasumbua Sana mipakani mwetu Sasa hv kilasiku wanakamatwa na bodaboda zao kufata chakula kupitia njia za panya, ujiulizi kwanini watanzania hawakamatwi wakienda Kenya kufata chakula?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kusafiri Hadi Dar ni shida kwa mtanzania wa kawaida sembuse kuingia Kenya?
 
Wapi evidence kuwa hio data ni ya 2019?
KWAMBA UMEKUA KIPOFU HUONI JUU YA COLUM HIZO KUNA MIAKA ??? mwaka jana, mwaka huu na projection mwaka kesho?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20200414_191358.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadhi ya wabongo wengi wasiokuwa informed kina joto la jiwe@geza ulole etc wanaishi wakisema Tanzania inalisha Kenya kwa kila kitu. Swali langu ni juu Kenya ilifunga mpaka mwezi ulio Isha tunakula mawe?maisha ina endelea kama kawaida huku na mwenye hela chakula kiko kingi. So next time you think that you feed us think twice.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unabisha nini wewe Nyang'au?

Kwani hizo habari si ziliandikwa na Mkenya mwenzenu na akapost kabisa kwenye mitandao?

Unabisha hata usichokijua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka maisha ya Kenya tunayafaham....you guys earn a daily pay which ends up in nakumati stores....no food reserve in your homes....most of you have no Land....it all belongs to kenyata family....unabisha?? Hapo unapoishi ni kwenye estate ya developers....unabisha? Matatu unayopanda ni Sacco....unabisha? You don't own anything as a real man....shame!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
You are correct,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Wabongo mnatoa povu namna hii. Ama ni kwa sababu mleta mada ameongea ukweli kwamba hamtulishi? Mna vituko sana.
Kuna video imesambaa kwenye mitandao Kuna mchina amemwita Raisi wenu monkey pamoja na wakenya wote,mpambane kwanza na huyo mchina tena yuko nchini kwenu
 
Kuna video imesambaa kwenye mitandao Kuna mchina amemwita Raisi wenu monkey pamoja na wakenya wote,mpambane kwanza na huyo mchina tena yuko nchini kwenu
Hio ni video ya zamani na pia ashakuwa deported. Anakula githeri huko kwao
 
Back
Top Bottom