Wale walalamishi wa viporo waanza kuomba mechi zao zisogezwe mbele

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
16,784
Reaction score
23,312
Ligi ya msimu uliopita ilikuwa na malalamiko mengi hasa kutoka timu ya Yanga kuwa Simba inabebwa na kuwa na viporo vingi, kocha alidai ameshitaki hadi CAF lakini cha ajabu sasa hivi timu hiyo malalamishi fc imeanza kuomba mechi zake zisogezwe mbele bila sababu za maana kama kudai wachezaji wake wamekuja kwa mafungu hivyo watakuwa wamechoka wanasahau kuwa wenzao msimu uliopita wakati wakiliwakilisha taifa vyema hadi wao wakapata nafasi ya kushiriki michuano hiyo pamoja na kwamba wakati huo hawakuwa mabingwa walistahili mechi zao kusogezwa mbele.Sasa hivi unafiki wao unawaumbua
 
Na jambo hili nilijua litatokea tu. Walipokuwa wanabwabwaja tulikuwa tunawacheki tu, hawa Vyura sidhani kama akili zao zilikuwa sawa kipindi kile.

Mimi kama shabiki wa Simba sitawalaumu kwa kuomba mechi zao zisogezwe mbele, na sababu zao ni za msingi kabisa. Ila ninachowalaumu ni kitendo cha "kulia lia" na "kuionea nongwa" Simba kwa mechi zake za VPL kusogezwa mbele, huku wakijua Simba alikuwa na majukumu makubwa ya kuliwakilisha taifa. MUDA HUMUUMBUA MNAFIKI.
 
Timu ikikaa mda mrefu bila mechi pia ni tatizo,,
 
Historia yenu ya viporo 10+ sina uhakika kama inaweza kuvunjwa hapa duniani,naona mnatafuta njia ya kupunguza ile aibu ya msimu uliopita,tunacheza alhamisi na Jpili bila Shaka.

Endeleeni kutafuta wa kumtwisha ile aibu yenu na msomali
 
Na jambo hili nilijua litatokea tu. Walipokuwa wanabwabwaja tulikuwa tunawacheki tu, hawa Vyura sidhani kama akili zao zilikuwa sawa kipindi kile.

Mimi kama shabiki wa Simba sitawalaumu kwa kuomba mechi zao zisogezwe mbele, na sababu zao ni za msingi kabisa. Ila ninachowalaumu ni kitendo cha "kulia lia" na "kuionea nongwa" Simba kwa mechi zake za VPL kusogezwa mbele, huku wakijua Simba alikuwa na majukumu makubwa ya kuliwakilisha taifa. MUDA HUMUUMBUA MNAFIKI.
Umesahaiu muasisi wa kulalamika ni yule mzungu wa Kariakoo aliyekuwa anawaaita waandishi wa habari na Tv yake ya nchi 100
 
simba kubalini tu uwezo wenu ni mdogo kimataifa, na historia ya kufika robo fainali klabu bingwa afrika mtaikumbuka mpaka siku mnaenda kaburini, haitakaa itokee tena,
 
How[emoji2][emoji2]
Vyura fc mje chap
a00f18ba9bc9d8e01d20756b345b2209.jpeg
 
Mikia mnapata wapi ujasiri..ni sawa na wanafunzi wa kidato cha nne..wewe umepata zero unamcheka mwenye division 2..Rage njoo uchukue watu wako huku
Kwanini mashabiki wa yanga mkisikia "MAKAMEEEEE."
mnakasirika?
huko instagram kuna mtu kanitukana kisa tu nimemtaja MAKAMEEE
 
simba kubalini tu uwezo wenu ni mdogo kimataifa, na historia ya kufika robo fainali klabu bingwa afrika mtaikumbuka mpaka siku mnaenda kaburini, haitakaa itokee tena,
Naona bado umelala wewe au una malizia komoni yako
 
Back
Top Bottom