rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Ligi ya msimu uliopita ilikuwa na malalamiko mengi hasa kutoka timu ya Yanga kuwa Simba inabebwa na kuwa na viporo vingi, kocha alidai ameshitaki hadi CAF lakini cha ajabu sasa hivi timu hiyo malalamishi fc imeanza kuomba mechi zake zisogezwe mbele bila sababu za maana kama kudai wachezaji wake wamekuja kwa mafungu hivyo watakuwa wamechoka wanasahau kuwa wenzao msimu uliopita wakati wakiliwakilisha taifa vyema hadi wao wakapata nafasi ya kushiriki michuano hiyo pamoja na kwamba wakati huo hawakuwa mabingwa walistahili mechi zao kusogezwa mbele.Sasa hivi unafiki wao unawaumbua