rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Na jambo hili nilijua litatokea tu. Walipokuwa wanabwabwaja tulikuwa tunawacheki tu, hawa Vyura sidhani kama akili zao zilikuwa sawa kipindi kile.
Mimi kama shabiki wa Simba sitawalaumu kwa kuomba mechi zao zisogezwe mbele, na sababu zao ni za msingi kabisa. Ila ninachowalaumu ni kitendo cha "kulia lia" na "kuionea nongwa" Simba kwa mechi zake za VPL kusogezwa mbele, huku wakijua Simba alikuwa na majukumu makubwa ya kuliwakilisha taifa. MUDA HUMUUMBUA MNAFIKI.
Timu ikikaa mda mrefu bila mechi pia ni tatizo,,
Umesahaiu muasisi wa kulalamika ni yule mzungu wa Kariakoo aliyekuwa anawaaita waandishi wa habari na Tv yake ya nchi 100Na jambo hili nilijua litatokea tu. Walipokuwa wanabwabwaja tulikuwa tunawacheki tu, hawa Vyura sidhani kama akili zao zilikuwa sawa kipindi kile.
Mimi kama shabiki wa Simba sitawalaumu kwa kuomba mechi zao zisogezwe mbele, na sababu zao ni za msingi kabisa. Ila ninachowalaumu ni kitendo cha "kulia lia" na "kuionea nongwa" Simba kwa mechi zake za VPL kusogezwa mbele, huku wakijua Simba alikuwa na majukumu makubwa ya kuliwakilisha taifa. MUDA HUMUUMBUA MNAFIKI.
Vyura fc mje chap
MakameeeeeMikia kwa historia..ya msimu uliopita yamepita..UD Songo kaleta balaa
Mikia mnapata wapi ujasiri..ni sawa na wanafunzi wa kidato cha nne..wewe umepata zero unamcheka mwenye division 2..Rage njoo uchukue watu wako hukuMakameeeee
Kwanini mashabiki wa yanga mkisikia "MAKAMEEEEE."Mikia mnapata wapi ujasiri..ni sawa na wanafunzi wa kidato cha nne..wewe umepata zero unamcheka mwenye division 2..Rage njoo uchukue watu wako huku
Naona bado umelala wewe au una malizia komoni yakosimba kubalini tu uwezo wenu ni mdogo kimataifa, na historia ya kufika robo fainali klabu bingwa afrika mtaikumbuka mpaka siku mnaenda kaburini, haitakaa itokee tena,