kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
Hersi saidi yupo kwenye mtanziko mkubwa sana kuhusu maamuzi ya kukubali kucheza mechi ya marudiano baada ile ya march 8 kuota mbawa...ukisikiliza anachosema anaonyesha dalili za woga na kuna kitu hakipo sawa anaogopa dhidi ya washabiki wake wahuni wasio na adabu...Hersi ana zunguuka anaogopa kufurushwa anazuga kwa kurudia neno moja la ujumbe tumeufukisha mara hamsini..ila za ndaaani amekubali kucheza mechi ameomba muda ili aje aite kamati yake watoe maamuzi ya pamoja....Hii ndio tabu ya kuweka na vibaka madarakani unakuwa huna maamuzi....yanga siku zote mambo yao ni ya kihuni..