We linda brand, ye atajua mwenyewe na hayo mengineSaa ingine unaeza dhani unalinda brand kumbe upo mwenyewe, mwenzio kakukaushia sio kwamba analinda brand au anakufanyia makusudi, bali ni kwamba wewe sio kipaumbele kabisa kwenye maisha yake, hata kichwani kwake mda mwingi haupo, kiuhalisia unaeteseka ni wewe, mwenzio wala hana hata habari Depal
Bro mambo ya brand ni sisi team mahusiano nyie wa kwenye ndoa ombaneni msamaha tu kwa kila jambo.Na hii inaua ndoa nyingi, kulinda brand!! Kiburi na kutojishusha ni number one killer ya ndoa zetu.
Kama kweli vile...Naweza sana π
Wacha nilale emKama kweli vile...
huu ni ukweli wote1. Siku ya kwanza mnaona kawaida tuu Kila mtu anahisi mwenzake atamtafuta. kisanga kinaanza siku ya pili ya ukimya.
2 : Siku ya pili inaisha hapo Kila mtu anaanza kupata wasiwasi, Kila mtu anajiuliza maswali mengi
3: Wote mnaanza kuishiwa Raha, notification zikiingia unafungua haraka, unakuta Airtel wamekuambia Airtel watawasiliana na wateja wao kupitia namba 100 tuu.
4: Mnafatiliana kimya kimya
Yan unafatilia Kila anachopost na yeye anafatilia sana ila hamtafutani
5: Mood itapotea hupati usingizi unamuwaza huskii hamu ya chakula, na yeye ni hivyo hivyo
ila mtafanyaje Sasa si mmeamua kulinda Brand.
6: Usiku Kila mtu
anamuwaza mwenzie huyu mbwa atakua ananicheat
7 Kila mtu anatafuta campan ili apunguze mawazo, lla ukiisha achana na hiyo campan moto upo pale pale.π
8: Kila mtu anajilaumu kimya kimya, Kila mtu anasema labda ningemtafuta tusingekua hapa.
9: mnakuwa na hasira na upendo kwa wakati mmoja Unamkumbuka... lakini bado unaumwa
Unampenda... lakini hutaki kuonekana dhaifu.
10. mmoja anaishiwa pawa anaamua tuu kumtafuta mwenzake anaona yanazungumzika
ππππ₯π₯
Usiku wa leo una kazi kubwa sana, najua hulali...Wacha nilale em
ππ Nimehangaika sana leo
Good nightoo!
Huu ndo ukweli. Na kama sio CHAPUTA basi mnunuaji utamu kwa dadapoa.napia nna wasiwas sana hao walinda brandy ndo watu wa CHAPUTA π .
Au nikalale hosp ππUsiku wa leo una kazi kubwa sana, najua hulali...
Unipe heka heka za kukuagizia chakula cha usiku au siyo...Au nikalale hosp ππ
Ongezeni caring ππUnipe heka heka za kukuagizia chakula cha usiku au siyo...
Ulishaaga usiku mwema... Haya kalale...Ongezeni caring ππ
Dr ashasema jamani aah usione wivu
Tenaa nafukuzwa jamani ππUishaaga usiku mwema... Haya kalale...
Ni mbayaaSaa ingine unaeza dhani unalinda brand kumbe upo mwenyewe, mwenzio kakukaushia sio kwamba analinda brand au anakufanyia makusudi, bali ni kwamba wewe sio kipaumbele kabisa kwenye maisha yake, hata kichwani kwake mda mwingi haupo, kiuhalisia unaeteseka ni wewe, mwenzio wala hana hata habari Depal
Hapo ni suala la mzani umeelemea wapi.kulinda brand jau sana mapenzi yakufa hivi hivi kimasihara
Zingatia mada linda Brand kaza...Tenaa nafukuzwa jamani ππ
Una hoja, usikilizwe.kwenye mahusiano bila mmoja kujishusha hakuna mahali hayo mahusiano yatafika, ni sawa ndani ya familia lazma unyenyekevu uwepo vinginevyo ugomvi hauta kaa uishe.
BRAND hizo ni kwaajili ya vijana wadogo ambao wapo tu bado kwenye stage ya hit and run ila kwa upande wa familia lazma mmoja ajishushe mzani uweze kubalance
napia nna wasiwas sana hao walinda brandy ndo watu wa CHAPUTA [emoji2] .