Mtukutu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,179
- 1,502
Kumbe kuna kulinda brandi na sijui🙆♂️🙆♂️Tunalinda brandi
View attachment 3582623
Ogopa matapeli🤣🤣Huwa napitia comments zako, na misimamo yako naona kabsa hakuna yoyote wa kukuyumbisha hasa kwenye mahusiano🔥😀
Nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe
Hahahaha acha kiburi shindiiKumbe kuna kulinda brandi na sijui🙆♂️🙆♂️
Simtafuti teeena.
Nalinda brandi🤣🤣🤣Hahahaha acha kiburi shindii
Kila mtu alinde brand abaki kwake😅Nalinda brandi🤣🤣🤣
Weeeeh! ShindwaaaKila mtu alinde brand abaki kwake😅
Mimi nimeshalinda brand nabaki na pombe zangu tu😅Weeeeh! Shindwaaa
Brand ya niokooo 🤣Haifai kujishusha zaidi ya mara mbili View attachment 3582783
Yaani watu wapo kwenye ndoa then wana Linda brand !? Hao itakuwa bado ni watoto Akili hawana 😄Na hii inaua ndoa nyingi, kulinda brand!! Kiburi na kutojishusha ni number one killer ya ndoa zetu.
Sio poah 🤣🤣kulinda brand jau sana mapenzi yana kufa hivi hivi kimasihara
Brand ya konywe🤣🤣Mimi nimeshalinda brand nabaki na pombe zangu tu😅
Brand muhimu shindii😅Brand ya konywe🤣🤣
Ili mgundue nini sasa🙆♂️🙆♂️Hahaha ni kweli mkuu, ila si unajua siku izi watu wanavimbiana hakuna kuonekana DHAIFU
Acha kiburi shindii, mtafute huko!Brand muhimu shindii😅
Imerahisishwa! Sasa unaweza kutuma pesa kwenda MTN na Airtel Uganda kwa gharama ndogo kuanzia Tsh 2,000 ukitumia NMB Mkononi App. #DhumuniHalinaMipakaWeeeeh! Shindwaaa
Akuuuu! Mie kwakweli hayo mambo siwezani nayo, nitamtafuta tu. Mengine atajua mwenyewe na malezi yake mabovu🤣🤣🤣Imerahisishwa! Sasa unaweza kutuma pesa kwenda MTN na Airtel Uganda kwa gharama ndogo kuanzia Tsh 2,000 ukitumia NMB Mkononi App. #DhumuniHalinaMipaka